Jumamosi, 3 Agosti 2024

TAARIFA MPYA

Tags

Asalam alaykum Habarani ndugu zangu, natumai muwazima wa afya mara baada ukimya wa muda mrefu kwa taarifa hii ni kuwa muda simrefu tutarudi hewani tena katika jukwaa hili lengo ikiwa ni kuendelea na mafunzo yetu kwa pale tulipoishia. karibuni sana kwa mara nyengine tena mupate kujifunza kama tulivyokua awali. karibuni sana


EmoticonEmoticon